Karibu
Asante kwa maombi yako ya kuwa msimamizi wa kozi za mtandao za globalrize.
Kozi hii ya mafunzo, ni hasa kwa ajili ya wanafunzi waliofanikiwa kumaliza mafunzo yao ya msingi ya kozi ya Biblia na wameomba kuwa wasimamizi kwa kozi za mtandao za GlobalRize. Tafadhali soma sura zote kwa uangalifu na jibu maswali yote.
Tunajaribu kukujibu ndani ya kipindi cha juma moja na tutakufahamisha kama maombi yako yamefanikiwa. Kama utakuwa umefanikiwa tutapanga tukupigie kwa (skype) video-call kwa ajili ya kupata utambulisho binafsi. Kama kutakuwa na maswali yoyote yahifadhi, maana utaweza kuyauliza baadae.
Baada ya ukubalio wa mwisho tutaanzisha usimamizi wako.
Harry Raaphorst
Msimamizi wa kozi za kiingereza