Tufundishe sisi kusali

Pamoja na msimamizi • 10 hesabu masomo • 52 hesabu wanafunzi

Karibu kwenye kozi ya TUFUNDISHE SISI KUSALI!

Kwenye kozi hii fupi tunakwenda kufikiri kuhusu maombi; maombi ni nini na kwa nini ni ya muhimu sana. Tunakwenda kuzungumzia mifano michache kwenye Biblia. Tunatumaini utajisikia kutiwa moyo zaidi kuingia katika maisha ya maombi ambayo humpendeza Mungu na huimarisha Imani yako katika Kristo Yesu.

Tunatumia Biblia ya kiswahili ya UV052C.

Anza kozi